rhyme/rime

n 1 kina without ~ or reason bila maana, puuzi. 2 mashairi ya vina nursery ~ mashairi/beti za watoto. 3 neno lifanyalo kina. 4 matumizi ya vina. vt,vi 1 fanya mashairi ya vina. 2 -wa na sauti sawa mwishoni. 3 weka pamoja ili kujenga vina. ~ster n mshairichapwa.