rhetoric

n 1 balagha: elimu ya usemaji. 2 (eloquence ) ufasaha wa kusema. 3 chuku. rhetorical adj 1 -enye balagha, -a usemaji, -a ufasaha. 2 (not serious) -a kutia madoido tu. ~al question balagha, swali lisilodai jibu. rhetorician n mgambi, mbalagha.