rhapsody

n 1 maneno ya kuonyesha furaha/shauku, sifa/maneno ya nderemo. 2 (music) tungo isiyokuwa na ulinganifu/isiyofuata kanuni. rhapsodize (about/over/on) vi sema/andika kwa shauku/furaha, sifia sana, husudu.