revolt

vi,vt 1 ~ (against) asi. 2 ~ (against/at/from) chukizwa, nyarafiwa, kirihishwa. 3 kirihi, chusha. n uasi, maasi. revolting adj -a kuchukiza, -a karaha. revoltingly adv kwa namna ya kuchukiza.