revise

vt 1 fikiria tena; pitia (ili kusahihisha na kufanya bora zaidi). the R~d Version nakala ya Biblia iliyofanywa 1870-84 ikiwa ni masahihisho ya tafsiri ya Biblia iliyofanywa 1611. n nakala iliyosahihishwa. 2 (alter) geuza, badili, tengeneza. reviser n msahihishi. revision n kurudia masomo (k.m. kabla ya mtihani); masahihisho. revisionist n mbadilishaji wa itikadi ya siasa. revisionism n.