review

vt,vi 1 angalia/fikiri/tafakari/ pitia upya come under ~ chunguzwa/kaguliwa. 2 kagua rasmi (majeshi, n.k.). 3 pitia maandishi, chambua, hakiki n 1 kutafakari/ kuangalia upya. 2 ukaguzi (wa majeshi). 3 jarida/gazeti la mambo ya leo. 4 uhakiki; mapitio; muhtasari the book under ~ kitabu kinachohakikiwa, n.k. 5 kitendo cha kutafakari jambo (k.m. maisha ya mtu mwenyewe). reviewer n mhakiki.