revert

vi 1 ~ (to) rudi, rejea, rudia hali ya kwanza. 2 (leg) rudi (kwa mwenye mali wa kwanza). revertible adj. reversion n 1 hali ya kitu kurudi kwa mwenye mali. 2 haki ya kumiliki mali katika mazingira fulani maalumu; kitu kimilikiwacho katika mazingira hayo. 3 hali ya kitu kurejea katika hali yake ya awali (k.m. mimea). reversionary adj.