reverse
vt,vi 1 pindua, geuza. a ~d charge n gharama kwa mpigiwa (simu). ~ arms (mil) mtutu chini. 2 rudi/rudisha nyuma. 3 tangua, batilisha. reversible adj -a kupindulika, -a kutumika kuwili. reversibility n. reversal n 1 kupindua, upinduaji. 2 hali ya kupindua adj ~ reversal (to/of) -a kinyume, -a nyuma. in ~ order kuanzia mwisho, nyuma mbele. reversely adv. n 1 the ~ of kinyume. 2 the ~ (of) nyuma. 3 kitu cha kurudishia nyuma (k.v. gia ya nyuma). 4 ushinde, mkosi.