vt ~ (to) 1 funua, onyesha. 2 gundua (jambo jipya), fichua. ~ed religion n dini iliyoletwa na Mungu. revelation n ufunuo. (Bible) the Book of Revelation Ufunuo. 2 hali ya kudhihirisha kitu kilichokuwa siri/fumbo; kitu kilichodhihirishwa.