reunite

vi,vt kutana/kutanisha tena; ungana/unganisha tena; patana/ patanisha, suluhisha. reunion n kurudiana, kupatana, kuunganika tena a family reunion kukutana kwa familia yote (katika siku maalumu).