return
vt,vi 1 ~ (to); (from) rudi, rejea; rudisha. 2 ~ to rudia (hali ya kwanza) ~ to dust rudi mavumbini, -wa mavumbi. 3 (reply) jibu, itika ~ somebody's greeting jibu salamu. 4 (repay) rudisha, lipa. ~ thanks toa shukurani (k.m. kusali kabla ya kula). ~ed empties n chupa, kreti, n.k. tupu zilizorudishwa. 5 (give account of) toa (hesabu, hukumu, faida, n.k.). 6 (of constituency) chagua mbunge/ mwakilishi. ~ing officer n msimamizi (wa kura). returnable adj -a kurudishika. n 1 kurudi au kurudishwa, kuja; kwenda; kutoa, kupeleka. by ~ kwa posta inayofuata. on sale or ~ kwa kurudishwa iwapo haitauzwa. point of no ~ -sioweza kurejea au kurejeshwa nyuma tena. many happy ~s heri ya sikukuu (ya kuzaliwa). in ~ (for) kama malipo (ya). 2 hali ya kwenda au kurudi. ~ ticket n tikiti ya safari kwenda na kurudi. ~ match n mchezo wa marudiano. ~ fare n nauli ya kwenda na kurudi. 3 (often pl) faida toka kitegauchumi au biashara. 4 taarifa rasmi (itolewayo kwa kufuata agizo maalumu) annual ~s ripoti ya mwaka.