retrospect

n kuwazia/kukumbuka mambo ya zamani. in ~ ona/fikiria ya zamani n hali ya kutazama yaliyopita. retrospective adj 1 -a kutazama nyuma, -a kuhusu mambo ya nyuma, -liotangulia, -liopita. 2 (of laws, etc.) -a kuanzia nyuma. retrospectively adv.