retrieve

vt,vi 1 pata tena. 2 rekebisha, hidi. 3 ~ (from) okoa, rudisha; stawisha. 4 (of trained dogs) tafuta na kurudisha. retrievable adj -enye kuweza kupatikana tena. retrieval n upatikanaji tena. retriever n mbwa wa msasi.