retreat

vi ~ (from); (to) kimbia; rudi nyuma. n 1 kurudi nyuma. 2 ishara ya kurudi nyuma sound the ~ rudisha nyuma askari (kwa kutoa ishara). 3 utoaji wa ishara hiyo beat a (hasty) ~ (fig) jiondoa, kimbia, acha kufanya jambo. 4 (refuge) kimbilio; mahali pa raha/usalama/ faragha. 5 kujiondoa kwa muda; (rel) mfungo go into ~ funga.