retract

vt,vi 1 futa (usemi, kauli, wazo n.k.). 2 rudisha, rudi a snail can ~ its horns konokono anaweza kurudisha ndani pembe zake. retractable adj -a kuweza kurudi ndani. retractile adj 1 -a kurudishika ndani. 2 -a kufumbatika, -a kuweza kurudishwa nyuma. retraction n hali ya kurudi nyuma/ndani.