reticulate

vt gawa/gawanya katika miraba; fanya, panga/kama wavu/ kimia adj -a kimia, -a wavu; -a mtandao. reticulation n mpangilio/ mfumo unaofanana na wavu/kimia; mtandao.