retain

vt 1 zuia; shika, weka. 2 (hire)ajiri (hasa wakili). 3 baki na, bakiza ~ somebody's services bakiza huduma ya mtu. retainer n 1 (arch) mtumishi (wa mtu mwenye cheo kikubwa/wa nyumbani) wa siku nyingi. 2 (lawyers' fee) ada ya wakili, ada ya awali. retention n kuzuia; kufunga, kuweka; kubakiza. retentive adj retentive (of) -a kushika, -a kufahamu. he has a retentive memory ana kumbukumbu nzuri. retentively adv. retentiveness n.