resurrect

vt,vi 1 fufuka; fufua. 2 ondoa kaburini, fukua, (colloq) chimbua. 3 rudisha, anzisha tena (jambo), tumia tena. resurrection n 1 the R ~ion n Ufufuo wa Yesu Kristo. 2 Ufufuko (wa wafu) the day of ~ion siku ya kiyama, siku ya kubaathiwa. 3 kufufua, kurudisha (desturi).