restrict
vt ~ (to) zuia, wekea mipaka, tilia amri/sharti, finya ~ed within narrow limits -liozuiwa katika mipaka finyu ~ed code sheria finyu; lugha finyu. ~ed area eneo marufuku kuingiwa. restriction n kizuio, sharti; amri, mipaka. restrictive adj -zuivu, -a kuzuia. ~ive practices n (in industry) vikwazo katika uzalishaji (k.m. matumizi mabaya ya wafanyakazi, mali ghafi, zana, n.k). restrictively adv.