respond
vi 1 ~ (to) (of church services) itika; itikia. 2 jibu. 3 ~ (to) (react to) shawishika, athirika, vutika; ongezeka, kubali, pokea he always ~s to kindness kila mara avutika na upole the plane ~s to the controls ndege inaendesheka vizuri kwa vyombo vyake. respondent n (leg) mshitakiwa, mjibu mashtaka; mtetezi (wa tasnifu); mjibu (hojaji n.k.) adj -a kulingana; -a kujibia. response n 1 jibu, itiko bring no response toleta jibu lolote. 2 kiitikio, mkarara. responsive adj -a kujibu; -a kuitikia; -a kuvutika. responsiveness n.