respite

n 1 ~ (from) nafasi ya kupumua, pumziko. 2 kukawiza, kuahirika katika adhabu vt ahirisha, -pa nafasi ~ a condemned person ahirisha kunyonga mhukumiwa kwa kitambo.