resolve

vt 1 ~ to do something; ~ that...; ~ on/upon (doing) something azimu, nuia, kusudia, amua. 2 (of a committe, public meeting etc) amua kwa kupiga kura, pitisha. 3 tatua, maliza, komesha (kwa kutoa jawabu). ~ something (into something) vunja, gawa; geuza, geuka kuwa the Parliament ~d itself into a committee Bunge liligeuka kuwa Kamati n azma, azimio, nia, kusudi, uthabiti, ushupavu. ~d adj -lioamriwa, -liokatiwa shauri, -liaozimiwa, -lionuia. resolvable adj. resolvedly adv kwa uthabiti.