resist

vt 1 pinga, kinza; bisha ~ arrest pinga kukamatwa. 2 stahamili, jizuia. 3 kataa kusalimu amri. resister n mpingaji, mkinzani. resistless adj -sioweza kukinzika, -sioweza kukatalika. ~ance (to) n 1 (uwezo wa) upinzani (k.m. dhidi ya adui) they cannot overcome the enemy's ance hawawezi kushinda nguvu ya upinzani wa adui. ~ance movement n tapo/chama cha upinzani (dhidi ya maadui waliovamia nchi). 2 nguvu kinzi the boat failed to overcome the ~ance of the wind boti ilishindwa kukabili nguvu kinzi ya upepo. line of least ~ance uelekeo usio na nguvu kinzi kali; (fig) njia au mbinu rahisi zaidi. 3 uadui; uhasama. resistant adj kinzani, -enye upinzani, kinzi. resistor n (phys) kikinzanishi: sehemu ya saketi inayopitisha umeme kwa shida.