reside

vt 1 ~ (in/at) ishi, kaa; -wa na nyumba/makao/makazi ~ abroad ishi ng'ambo. 2 ~ in (of power, rights) -wa mikononi mwa/chini ya. residence n 1 kuishi, kukaa nce area eneo la makazi. in ~nce (official) nyumbani; (of students) Chuoni. 2 nyumba. residency n nyumba ya balozi, makao ya wageni (wa nchi). resident n 1 (inhabitant) mwenyeji, mkaaji, mkazi. 2 Resident Balozi adj -a mkazi, -a kukaa, a kuishi. ~nt magistrate n hakimu mkazi. ~nt physician n daktari mkazi (katika eneo la hospitali). residential adj -a kukaa watu, -a makazi the ~ntial part of the town eneo la makazi.