reserve

vt 1 weka akiba, limbika; ahirisha the judgement was ~d hukumu iliahirishwa; 2 setiri; bakiza, saza. 3 weka/shika/chukua nafasi. all seats ~d viti vyote vimechukuliwa. all rights ~d (leg) haki imehifadhiwa. reserved adj (person) kimya, -siyoonyesha hisia kwa urahisi. reservedly adv. reservation n 1 kusita, shaka; ajizi (ya kukubali jambo) accept something without reservation pokea kitu kwa moyo mkunjufu accept a plan with reservation pokea mpango kwa shaka. 2 (US) ardhi iliyohifadhiwa kwa matumizi maalumu the Indian reservation ardhi iliyotengwa kwa matumizi ya Wahindi wa Asili. 3 (esp US) kuishika/kuchukua/kuweka nafasi agh. ya usafiri. n 1 akiba, limbiko ~ fund mfuko wa akiba a ~ player mchezaji wa akiba. 2 (mil) the R~ n askari wa akiba (ambao wako nje ya jeshi lakini wanaweza kuhitajiwa wakati wowote). 3 hali ya kitu kuwekwa kama akiba. 4 hifadhi. game ~ n mbuga (za hifadhi ya wanyama) a forest ~ hifadhi ya msitu. 5 kizuizi. 6 haya, kimya ~ of manner mkimya. reservist n askari wa akiba/msaada.