reputation

n sifa of good ~ -enye sifa njema of bad ~ -enye sifa mbaya live up to one's ~ ishi kufuatana na sifa ya mtu. reputable adj -a sifa njema, zuri, -a kuheshimika. reputably adv. repute n sifa ill repute sifa mbaya a specialist of repute mtaalamu mashuhuri know somebody by repute fahamu mtu kwa sifa yake. vt be reputed as/to be julikana/sifika kwa (attrib.) adj -a kusifika, -a kujulikana, -enye kusemekana he is reputed to be the father inasemekana kuwa ndiye baba. reputedly adv.