repulse

vt 1 rudisha nyuma (maadui); shinda; fukuza. 2 kataa (msaada); fanya mtu asizoee, katisha tamaa kwa kufanyia inadi. n 1 kufukuza/kufukuzwa; kushindwa. 2 kanyo, makatazo suffer a ~ rudishwa nyuma (vitani). repulsion n 1 kinyaa. 2 kurudishwa nyuma; kufukuzwa. 3 (phys) hali ya vitu kukimbiana/kutotangamana. repulsive adj. 1 -baya, chushi, -a kutia kinyaa, -a kukirihi. 2 -siovutia. repulsiveness n. repulsively adv.