republic

n 1 jamhuri. 2 jamii (ya waandishi n.k.). republican adj -a jamhuri. republican n 1 mtu apendaye serikali ya jamhuri. 2 (US) mwanachama wa R~an Party. republicanism n falsafa/sera ya serikali ya jamhuri.