reproduce
vt,vi 1 nakili, fanya sura/mfano/namna ya. 2 fuatisha; rudisha, toa tena, leta mara ya pili. 3 zaa. 4 ota upya. reproducer n mtu ambaye/kitu ambacho huzaa. reproducible adj -a kutengenezeka upya. reproductive adj -a uzazi; -a uwezo wa kuzaa (wanyama au mimea). reproduction n 1 kuzaa; uzazi. 2 nakala halisi. 3 (fresh growth) kuota upya; kitu kinachoota upya.