reprisal

n 1 ulipizaji kisasi (kwa kufanya yale yale uliyotendewa). take ~ lipiza kisasi. 2 (pl) vitendo vya kulipiza kisasi (hasa nchi kwa nchi) katika vita.