reprieve

vt ahirisha/chelewesha adhabu (agh. ya kunyonga mtu aliyeua); (fig) -pa, toa nafuu, achilia kwa muda ~ a debtor achilia mdeni kwa muda. n 1 (leg) uzuiaji kwa muda/ucheleweshaji wa kunyongwa mtu aliyehukumiwa. 2 achilio la muda; kuachiliwa kwa kitambo.