reposit

vt weka (kitu) kwenye ghala (bohari). repository n 1 hazina, mahali pa kuhifadhia vitu k.v. bohari, ghala, makumbusho n.k. 2 hazina, chemchemi ya habari be ~ory of -wa na hazina ya.