repose

repose

1 vt,vi 1 pumzisha, egemeza, weka, laza. 2 ~ on pumzika. n kupumzika; utulivu; raha; kimya. reposeful adj tulivu, -nyamavu, -lio kimya.

repose

2 vt something in something/ somebody amini ~ on his promises amini ahadi zake.