report

vt,vi 1 toa ripoti, toa taarifa, pasha habari; simulia mambo (uliyoona, uliyosikia, uliyofanya). ~progress toa taarifa ya maendeleo. ~ something out (US) rejesha pamoja na maoni. reportedly kwa mujibu wa taarifa, inavyosemekana. ~ed speech n kauli taarifa. 2 nakili, andika (kwa hatimkato). 3 (oneself) (to somebody/something) (for something) ripoti ~ to the manager piga ripoti kwa meneja ~ to the officer in charge piga ripoti kwa afisa mfawidhi. 4 ~ somebody/ something (to somebody) (for something) shtaki, lalamika ~ a child to his parents shtaki mtoto kwa wazazi wake. reportage n (mtindo wa) utoaji habari (wa magazeti). n 1 ripoti, taarifa annual ~ taarifa ya mwaka law ~ ripoti ya kesi. 2 mshindo it burst with a ~ ilipasuka kwa kishindo. 3 uvumi, tetesi the ~ goes inasemekana kwamba, kuna uvumi kwamba. 4 sifa nzuri/njema people of good ~ watu wenye sifa nzuri. reporter n mtoa habari; mwandishi wa habari.