replace

vt 1 rudishia mahali pake. 2 ~ somebody/something by/with chukua nafasi ya, ingia mahali pa, badilisha ~somebody with a machine badilisha mtu na/kwa mashine. replaceable adj -enye kuweza kubadilishwa, -a kubadilishika, -enye kuweza kuchukuliwa nafasi. replacement n ubadili; badala.