repeat

vt 1 rudia. 2 kariri, soma/sema kwa ghibu. 3 (of numbers) rudiarudia, tokea tena (mara nyingi). 4 (of taste) bakia mdomoni. 5 (of commerce) toa tena (bidhaa), rudia kutoa. n 1 marudio k.m. mchezo, kipindi cha redio. 2 (music) alama ya kuonyesha mahali pa kurudia katika muziki. repeatedly adv -liofanywa tena na tena. repeater n 1 bunduki inayotema risasi. 2 (E.A) mtu anayerudia (darasa n.k.). repeating adj -a kurudiarudia ~ing decimal desimali ya kurudiarudia. repetition n 1 kurudiarudia; urudiaji. 2 (of poetry) ukariri, usomaji wa ghibu. repetitious; repetitive adj -a kurudiarudia.