repair

repair

1 vt 1 karabati, fanya matengenezo; (of clothes) shona, tia kiraka a road under ~ barabara inayofanyiwa matengenezo. 2 rekebisha, weka sawa. n matengenezo, (state) hali (nzuri au mbaya) in good ~ nzima in bad ~ bovu keep in good ~ tunza vizuri put in ~ fanya matengenezo. repairer n mtengenezaji. repairing n utengenezaji, ushonaji wa kutia kiraka. reparable adj -enye kuweza kutengenezwa, -a kutengenezeka, -a kuweza kufidiwa, -a kulipika. reparation n 1 ulipaji fidia, kufidia (hasara, uharibifu). 2 fidia.

repair

2 vi ~to enda, zuru.