renounce

vt 1 (refuse) kataa, kanusha; kana. 2 burai (madai). 3 (give up) acha, jitoa katika jambo, achilia mamlaka ya mtu. renunciation n 1 kano, kanusho. 2 (relinquishment) kuacha, kujinyima, kujihini. renunciatory adj.