render

vt 1 ~ something (to somebody) toa, lipa, rudisha, onyesha (heshima) ~ thanks toa shukurani. 2 leta, peleka. ~ an account of oneself/one's behaviour elezea, jieleza ~ed account ankara iliyotolewa (kwa kulipwa). 3 fanya, geuza kuwa katika hali fulani the drink ~ed him speechless ulevi ulimfanya kuwa bubu. 4 ~ something (down) yeyusha; safisha siagi/samli kwa kuyeyusha. 5 (of building) piga lipu. 6 tafsiri; fanya; igiza. rendering n 1 (translation) tafsiri, fasili. rendition n 1 utambaji. 2 ufasiri, ufafanuzi.