remote

adj 1 -a zamani the ~past zamani za kale. 2 -a mbali. ~ control -enye kuendeshwa/kufanywa toka mbali, -liotengwa (kwa maono, kwa moyo wa kupenda). 3 (feelings, interests, etc) liopishana sana, liotengana, mbalimbali. 4 (not friendly) baridi. 5 (insignificant) dogo I haven't the ~st idea sijui hata kidogo, sina habari. remotely adv. remoteness n.