remedy

n dawa; tiba the ~ is worse than the disease tiba yake ni mbaya kuliko ugonjwa wenyewe. vt tengeneza, rekebisha. remedial adj -a kuponya; -a marekebisho, -a kutuliza remedial classes masomo ya kujirekebisha. remediable adj -a kuponyeka; -a kutulizika.