remark

vt,vi 1 sema. 2 ~on/upon toa maoni, zungumzia. 3 (arch) ona, tazama n 1 maoni, maneno pass rude ~s about somebody toa maneno mabaya kuhusu mtu fulani. 2 kutazamwa. remarkable adj -a ajabu, -a kusifika, -sio kifani. remarkably adv.