remain

vi 1 baki, salia nothing ~ed for us but hatukuwa na la kufanya ila. 2 endelea kuwepo/ishi mahali fulani au katika hali fulani, bakia. remainder n baki, salio. remains n 1 masalio, mabaki (of food) makombo; (of building) gofu. 2 (also relics) maiti.