religion

n 1 dini: imani katika kuwepo kwa Mungu/kiumbe mwenye nguvu zaidi ya binadamu, aliyeumba na anayeudhibiti ulimwengu. 2 dini: mojawapo ya mifumo kadhaa ya imani na ibada zake (k.m. Ukristo, Uislamu, Ubudha). 3 utawa. 4 imani: kitu ambacho mtu huamini na kushikilia sana she makes a ~ of keeping her house clean anang'ang'ania sana usafi wa nyumba yake. religious adj 1 -a dini. 2 -a mcha Mungu. 3 -a utawa 4 -a imani. 5 -a kushikilia sana jambo. n mtawa, mcha Mungu, mswalihina. religiously adv. religiousness n.