relief
relief
1 n 1 (of pain, distress, anxiety) tulizo, shime, faraja, nafuu. 2 msaada (wa kuwapunguzia watu dhiki) a ~ fund mfuko wa msaada be on ~ ishi kwa msaada wa serikali. 3 burudisho. 4 (of a siege) uimarishaji ngome; kukomboa. 5 (taking turns) mapokezano; mtu wa zamu ijayo; (attrib) -a ziada ~ bus basi la ziada. relieve vt 1 fariji, punguza, tuliza she was reliaved to get the news alifarijika kupata habari zile. reliave one's feelings punguza mawazo/hisia. reliave oneself kojoa, tabawali. 2 -wa na zamu, pokea zamu. 3 reliave somebody of something mpokelee mtu kitu fulani, saidia; (joc) iba, ibia mtu; fukuza kazi, achisha kazi; vua madaraka. 4 dhihirisha, fanya ku(ji)tokeza.relief
2 n 1 mbinu ya uchongaji/uumbaji inayofanya sanamu itokeze katika msingi wake. 2 sanamu iliyochongwa/iliyoumbwa kwa kutokeza katika msingi wake. 3 (in drawing etc) uchoraji unaofanya kitu kitokeze katika msingi wake kwa kutumia vitu kama rangi, n.k. ~ map ramani ionyeshayo milima, mabonde, n.k. kwa kutumia rangi ili kuvifanya vitu hivyo vitokeze. 4 (lit or fig) uwazi, sura ya kutokeza be/stand out in ~ against tofautiana na; -wa kinyume na his behaviour stood out in ~ against his principles tabia yake ilitofautiana na taratibu zake.