relevant

adj husika, -enye kuhusu (yajadiliwayo) give him all the ~ books mpatie vitabu vyote vinavyohusika. relevantly adv. relevance n uhusiano.