release

vt ~ (from) 1 fungua, ruhusu kwenda, achia huru; ondoa ~somebody of a debt futa, samehe deni. 2 ruhusu kutolewa (kwa habari, filamu, n.k.). 3 (leg) achia mwingine haki/mali, n.k. n 1 ufunguliaji; ufunguliwaji, uachiaji huru. 2 kutolewa toleo (la filamu, n.k.) the new ~s filamu mpya. 3 wenzo unaoachilia au kufanya huru sehemu ya mashine.