relativity

n 1 nadharia ya Einstein isemayo kwamba vipimo vya mwendo, nafasi na wakati vinawiana/ kadiriana. 2 (gram) linguistic ~ n (Sapir-Whorf hypothesis) nadharia tete ya Sapir na Whorf isemayo kuwa lugha hutawala namna watu wanavyoufinyanga/wanavyouumba ulimwengu wao.