relate

vt,vi 1 ~ (to) simulia (hadithi, habari, n.k.). 2 ~ to toa maelezo ya kitu/jambo. 3 ~ to/with husisha; husika na. 4 be ~d (to) kuwa na mnasaba (na) he is ~d to me nina mnasaba naye. relation n 1 masimulizi, maelezo. 2 (also relationship) uhusiano the relationship between husomebodyand and wife uhusiano baina ya mume na mke the oldman's death and Juma's disappearance have no relation(ship) kifo cha mzee huyo na kutoweka kwa Juma havina uhusiano. in/with relation to kuhusu. 3 mahusiano have business relations kuwa na mahusiano ya kibiashara we have broken off all relations with that company tumevunja mahusiano yetu na kampuni ile. 4 udugu, mnasaba. relative n 1 ndugu, jamaa. 2 (gram) relative pronoun n kiwakilishi rejeshi adj 1 -a kuwiana na. 2 relative to -enye uhusiano na, -nayohusu. relative motion mwendo unaohusiana with relative ease kwa urahisi bila shida. relatively adv kiasi.