relapse

vt,vi ~ (into) rudia hali fulani tena (hasa uovu, mwendo mbaya, udhaifu, ugonjwa). n kuugua tena, kurudia hali mbaya, kurudiwa na ugonjwa. relapsing fever n homa ya vipindi.